vituko na vitimbwi (Jokes)
Blog hii ni kwa ajili vijimambo vya kuchekesha na kuliwazana
Jul 19, 2012
Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa wafuatao
Aliekwenda dukani kuulizia
Bluetooth
Aliekula hoteli
akaosha
vyombo vyake
Alienunua lambalamba akaitia kwenye mkoba na kuichukua zawadi kijijini
Alieamkia mtangazaji alieko kwenye Televisheni
Aliechukua pande la barafu na kuangalia wapi linavuja
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment