Jul 19, 2012

Kutekeleza amri zisizo zako

Jamaa wawili walikuwa wanacheza karata porini, mara wakapita wakulima, wakasikia sauti nzito inasema, "weka jembe chini"

Wakaweka majembe yao chini

Wakasikia ikiendelea kusema "Weka kisu chini"

Waka weka visu chini

Wakasikia "naomba kopa"

wakaangaliana, hawana kopa

Wakasikia "kama huna kopa weka mavi chini"

Ikabidi mmoja anye palepale

Mara wakasikia "kama huna mavi lamba"

Ikabidi yule ambaye hajanya alambe ya mwenzake

Mara wakasikia "Game over" wakashtuka kumbe kuna watu wanacheza karata!

No comments: