Jul 6, 2012

Neno la mwisho

Jamaa mmoja alikaribia kukata roho, wakati wa sekunde zake chache zilizobakia kufa akaomba kutoa neno la mwisho kwa Mke wake,

Akasema; Samahani sana Mke wangu nimekukosea. Nimetembea na Mdogo wako, Dada yako na Mama yako!

Mke wake akamjibu; hayo yote nayajua na ndiyo maana nimekupa sumu ili ufe!

No comments: