Mfanya usafi mmoja wa kwenye ndege aliokota kitabu cha kuongozea ndege wakati anafanya usafi, akasoma UKITAKA NDEGE IWAKE BONYEZA KITUFE CHEKUNDU, akabonyeza ndege ikawaka, akasoma tena UKITAKA NDEGE IANZE KUTEMBEA BONYEZA KITUFE CHA BLUE, akabonyeza ndege ikatembea, akasoma tena UKITAKA NDEGE IPAE BONYEZA KITUFE CHA NJANO, akabonyeza ndege ikapaa.
Akajisifu sana akasema yaani hawa wajinga kweli wanaenda vyuoni kwa miaka mitano na zaidi mimi darasa la saba nimepaisha ndege. Akafunua ukurasa unaofuata uweandikwa KWA MAELEZO ZAIDI JINSI YA KUONGOZA NDEGE ANGANI NA KUTUA NJOO CHUONI KWETU KOZI NI MIAKA KUMI, wakati huo yuko hewani bado kutua.TAFAKARI!

No comments:
Post a Comment