Wazee wa kichaga bwana!!!
Mzee mmoja toka Machame (Bwana Oforo) ambaye alikuwa mkali sana kwa binti
yake anaamka asubuhi na kutaarifiwa kwamba binti yake ana mimba!
Bwana Oforo: "Aisee we Manka, nakwenda kazini, nikirudi leo ni lazima
uniambie ni nani kafanya uchafu huu" Anafoka na kuondoka kuelekea
ofisini.
Mchana anapigiwa simu na Mama Manka na kuambiwa kwamba yule jamaa
aliyempa mimba bintiye yupo nyumbani anamsubiri kwa mazungumzo!
Mzee anachukua panga lake na kulinoa kabisaaa kwa ajili ya kwenda
kumteketeza mwanaharamu huyo.
Kufika nyumbani mambo yanakuwa hivi:
Kijana aliyempa mimba binti: "Mmmh Mzee ni kweli mi ndiye nimempa mamba
binti yako, na kusema kweli sina mpango wa kumuoa. Lakini akizaa mtoto
wa kiume nitakupa TShs 1 million na ghorofa Kariakoo kisha nachukua
mtoto.
Akizaa mtoto wa kike nakupa TShs 1 million na duka Sinza!
Lakini je mzee, ikitokea bahati mbaya mimba hii ikaharibika itakuwaje?
"
Mzee Oforo: Aisee babaangu itabidi tu umpe mimba nyingine, hakuna jinsi!

No comments:
Post a Comment