Mar 14, 2013

MTOTO WA MIAKA 8 AMEVUTA MKE WA MIAKA 61


 Haya yametokea nchini South Afrika tena Jimboni anapoishi Mc Chris Mauki sasa
pale mtoto wa miaka 8 kuvuta mke bibi mwenye umri wa miaka 61 
(Sijui ni Mjukuu ama Kitukuu chake) . Harusi imeandaliwa na familia kwa miezi 2 tu na
imegharimu pesa nyingi hapo sasa sijui muelekeo ni Hanymoon........